MSANII LYPSO ADAI SAFARICOM YADHULUMU WASANII SANA.
Jisomee mwenyewe alichoandika hapa......
"Msanii ni content provider safaricom service provider safaricom have given brokers or intermediaries to negotiate on our own sweat we artist of which after taking 85% the remaining they give the brokers which is 15% mwisho wa siku wanatulipa sulubu na hata wengine hawalipwi swali ni je hivi safaricom haiwezi fanya mkataba na wasanii moja kwa moja? na je kipi
wanachokiogopa hivi kampuni ambayo yatengeza mamilioni ya pesa kupitia nyimbo zetu yaweza
kuacha tudhulumiwe kiasi hichi ama kuna baadhi ya wandani wa safaricom wanafaidika na
unyanyasaji huu hivi wajua jirani zetu Tanzania wanafanya mkataba wa moja kwa moja baina ya msanii na kampani ya Tigo. Cha ajabu mabroker hawa kikubwa wanachofanya nikuchukua nyimbo zetu kuwapa safaricom, safaricom nao wanawapa codes ambazo wanatupa nakutuachia jukumu la kumarket hizi codes kwa wapenzi wa mziki wetu. Hivi hawa mabrokers kazi yao ni ipi kula jasho
letu? barua hii naomba mnisaidie kuisukuma hadi kwake rais wa taifa Uhuru Muigai Kenyatta na
serikali yake kwa ujumla, na ikiwezekana safaricom na wakaweza kufungua jicho la tatu na kuona unyanyasaji huu tunaopitia wasanii wa Jamuhuri ya Kenya. Ndugu, wasanii, mashabiki na wakenya wenzangu wakati ni sasa Mgala muuwe ila haki yake mpe#vanavavangai 4 lyf."

JE AMEONGEA UKWELI???
Comments
Post a Comment