WANAHIPHOP WA KENYA HUSTLA-J AKIWA MMOJA WAO WATOKEA KWA DOCUMENTARY YA KIMATAIFA.
Ukidhani ni mchezo basi wenzako wazidi kupiga hatua.Hivyo basis wasanii
kadhaa wa hiphop wametokea au kuchangia kwa bonge moja la documentary
iitwayo THE LOOP.Documentary hiyo iliyoandaliwa na mtayarishaji wa
filamu mashuhuri kutoka Sweden Roger Nilson na wa hapa pwani Nicko
Homesound imejumuisha wasanii kama Hustla Jay,K-Shaka,Chizen brain,
Kimya,Guru gang na wengineo.
Comments
Post a Comment