UDAKU WA WIKENDI!! ONYO UNDER 18 MSITAZAME!!!:PICHA MOTOMOTO ZA KIMAPENZI ZA MJ AKA JUMA SHIBE NA ESHA BUHETI.JE WANA UHUSIANO?
Yaonekana Juma Shibe imekuwa Shibe kweli si haba; Muigizaji maarufu Juma Shibe almaarufu MJ aliyetikisa runinga zetu kwa vipindi kama Utandu, Almasi na Sumu yaonekana ameamua kuyavulia nguo maji na kuyaoga hadharani. Mj anayependwa na mabinti kwa uigizaji wake wa utanashati na uloverboy kupindukia amevuka boarder na kuingia nchi jirani bongo kutafuta jiko.
Hivi majuzi alijaza picha zake na muigizaji star wa Bongo Esha Buheti zinazozua tetesi kibao kuhusiana na uhusiano wake na binti huyo. Kitu kisichoekeweka vizuri ni Je picha hizi labda ni za kipindi au filamu mpya wanayoandaa? Ama wawili hawa wapo na uhusiano??? Maswali haya bila majibu bila shaka yatajibiwa na picha hizi.

Comments
Post a Comment