ATI TUTULIZE NYAVU ........TULIZENI NYAPU-MAKEKE FAMILY WAJIBU!
Huku wimbi la wimbo wa 'tuliza nyavu' likizidi kuzoa mashabiki familia ya hiphop ya Makeke Family kupitia mkali wao Rudiwu imetayatisha kibao kwa jina TULIZA NYAPU.
Mwanahabari wetu alipowasiliana na Rudiwu,alisema haya......."MAHAKAMA YA MAKEKE FAMILY ILIKUWA NA KESI,BAADA YA UCHUNGUZI IKAWAPATA WASHUKIWA WAKO NA HATIA...KWA IVYO WANANCHI WASUBIRI UAMUZI WA MAHAKAMA MAKUU"
TAFAKARI MWENYEWE UKISUBIRI TULIZA NYAPU.....
Comments
Post a Comment