BENSO AJITOLEA KUSAIDIA JAMII KUPITIA HUDUMA YAKE YA WAKENYA PAMOJA.


Benson Katani almaarufu Benso ameamua kutoangalia jamii ikididimia kwa dimbwi la uhalifu, ukosefu wa amani, ukabila na migawanyiko ya kisiasa ndiposa ameanzisha program ya ‪#‎WAKENYAPAMOJA‬. Benso tayari ashatayarisha wimbo wa kuhusu amani na video yake ipo jikoni.
Msanii huyu anayevuma kwa kibao cha dance na shiro alipachika haya kwenye mtandao........
" Am embarking on this new music project for Kenya.
# PamojaTogetherTupendane
# PamojaTogetherTuungane
Uniting Kenyans as one from race to race, culture to culture & Tribe to tribe.
I want to preach the slogan of love, hope, prayer & unity
I need Kenyans to support me on this one and I will also be releasing the Audio & Video to this project to campaign for Love & unity in November.
# Wakenyapamojatuungane"

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA