NYOTA NDOGO APATA BONGE LA OFFER HUKU AKIWAHIMIZA WASANII KUTOA NYIMBO ZAKUDUMU.
Mwenyewe husema alitengeza jina zama zamani na Sasa Ni wakati wa kuchumia juani kwani waambavyo wahenga; mchumia juania Julia kivulini.
Hivyo basi,malkia wa muziki wa pwani au ukipenda ngome ya Sanaa ya pwani Nyota Ndogo aliwapasha wenzake kuwa Siri kuu ya kukita kama kisiki kwenye muziki Ni kutoa nyimbo zinazodumu.Huku akieleza jinsi alivyopata offer nono kutoka kwa mbunge Fulani,Nyota alikuwa mwenye wingi wa furaha akiyapachika haya mtandaoni........
"Nimepata simu kutoka kwa mueshimiwa.ilikua hivi.
HALLO HABARI YAKO MAMA NIKASEMA MZURI. MIMI NI FULANI DUH NIKASHTUKA.NIMEKUPIGIA NIMEAMBIWA HII NUMBER NI YA MTU ALIIMBA ILE NYIMBO YA WATU NA VIATU.NIKASEMA NDIO.AKASEMA HIO NYIMBO NINZURI SANA KISHA AKACHEKA.ALAFU AKASEMA NATAKA NIKUPE KAZI KWASABABU YA HIO NYIMBO UNATAKA PESA NGAPI?......yani anataka nikaimbe watu na viatu pekeake.unaweza kutunga nyimbo ukailia hela hata miaka ishirini.nyimbo ikasikizwa na watoto na watu wazima.nyimbo ikafatiliwa mpaka na waheshimiwa na wakakupa kheshma pia.tunasema SHUKRAN KWA MWENYEZI MUNGU."

Comments
Post a Comment