»»»»»»»»Silver D«««««««


Rama mshami Nyondo almaarufu Silver d, ni msanii anayeimba muziki wa pwani Flava.Silver D ni mzàliwa wa papa hapa Mombasa na vilevile amekulia hapa mjini.
Msanii huyu aliyebarikiwa na kipaji si haba alianza muziki alipokua mwanakwaya wà Sunday school ambapo kakake mkubwa alikuwa mwalimu.
Mwaka wa 2013 ndipo Silver-D aliposajiliwa kwa studio ya Bigfoot music chini ya Produza Baindo. Hapo alitoa kibao ‪#‎kisa_Dar‬ kilichompa nafasi kujulikana zaidi kwenye ulingo wa Sanaa ya pwani.
Hivi sasa msanii huyu ametayarisha kibao kipya kwa jina NISUBIRI.
Silver-D alikuwa na haya ya kunena kuhusiana na malengo yake ya muziki................"Nikufanya kua kiungo wakipekee na mtu mwenye kuigwa na watu mbali mbali madhumuni yangu katika sanaaa nikutukuza kiswahili na kukifanya ni moja wapo ya njia yakutuleta pamoja kupitia nyimbo zenye kusisimua na zenye mafunzo..naamini faraja yangu ipo mikononi mwangu licha ya utaratibu wangu wausanii naamini pole pole ndio mwendo na nitatimiza malengo yangu."

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA