"HUU NDIO UCHAWI WANGU!" SUSUMILA AFUNGUKA VIKALI.
Ameamua kutokimya kwa papara za maadui zake wanaomlimbikizia lawama chungu nzima.Si mwingine bali RIHAHA THE BOSS.Msanii Susumila asiyependa maneno mengi na kero zisizojenga alifunguka yote ya moyoni mwake huku akiwaambia wanaoleta kasheshe kuwa 'uchawi wake' bado upo.Na je uchawi wenyewe ni upi kama baadhi ya watu wanavyoshutumu? Kulingana naye Susumila; kivyake uchawi ni huu.......
(TUKINUU)
" 1.Kide Kide
2.Ihale
3.Hinde
4.Busy Body
5.Jirani
6.Tuliza Nyavu
7.Tam Utam
Hizi ni projects ambazo nimehusika zangu na nilizoshirikishwa toka mwaka 2015 uanze sijui
wale wapinzani ambao wako busy kuniharibia jina kila upande wametoa gani na gani kwa kifupi
uchawi wangu nikufanya kazi kwa bidii nakutojihusisha na majibizano na mambo yasio saidia kazi yangu kama uchawi nikufanya kazi kwa bidii basi mimi mchawi kama uchawi nikujituma na kujitolea katika kazi yangu basi mini mchawi haya nawaongeza dozi nyingine ya uchawi video mpya ya wimbo Tam Utam nikishirikiana na Busy K waliozoea kuongea ongeeni hapa ni kazi kwenda mbele tena kabla mwaka uishe nawaongeza dozi nyingine video kama mbili ziko njiani # RIHAHA ..MISHE MISHE MUSIC EMPIRE.."
Comments
Post a Comment