UTAPELI WAZIDI KUONGEZEKA
Wasanii wafilamu mjini Malindi walalama nakukasirishwa na watu wanaojita wafadhili, na kudai ni walaghai wakubwa. Matapeli hao huandaa matamasha nakudai eti wanataka kuwasaidia kumbe ilhali wanamalengo yao nakuwaacha hooi wasanii hawa.
----kwa hisani ya Malindi Superstars-----
Comments
Post a Comment