VIDEO MPYA YA MSANII KIWANJA ITAKAYOWAZUZUA WENGI KWA UJUMBE ATAKAOPITISHA AFRICA NZIMA!!!
Mwaka
mpya umeanza kwa kishindo kikuu kwa tasnia ya muziki si wa pwani pekee
bali Afrika mashariki kwa jumla.Kutoka Malindi mkali wa miondoko ya
hiphop msanii Kiwanja atawapeleka Afrika nzima ili awaonyesha jinsi
maisha ya ghetto yalivyo.Video ya Kiwanja imendaliwa kwa mtindo wa
kipekee huku ikionyesha uzuri wa maisha ya ghetto yalivyo.Kwa hali ya
juu,Kiwanja amejaribu kuleta hisia za kimuziki na kuzichanganya na
maisha ya undani ya kijana wa kiafrika.Tayarivideo hii imeanza kupata
umaarufu na imetikisa runinga tofauti hapa Kenya.Tulipata kumuuliza
meneja wake John Okoth kuhusiana na video hii na alituambia
haya.........."Fewer people have little experience of what the ghetto
environment is like: you hear about it or vaguely see it on TV. What
this video brings to it is a different perspective on what that
environment is like through the eyes of an artist, Kiwanja.
Our intention is to make the audience have a rush of experiences that is unpredictable and by turns still informative and entertaining,Africano!"
PATA KUITAZAMA VIDEO YENYEWE HAPA-------->>>>
Our intention is to make the audience have a rush of experiences that is unpredictable and by turns still informative and entertaining,Africano!"
PATA KUITAZAMA VIDEO YENYEWE HAPA-------->>>>
Comments
Post a Comment