KIWANJA AZIDI KUTAMBA VIWANJANI:AKIWAKILISHA 'CHOCOLATE CITY' MALINDI
Kiwanja ni msanii na producer kutoka Malindi aliyesajiliwa na label ya Malindi Records kama msanii wa mziki.Msanii huyu aliye na ujuzi wa kuunda muziki na kufoka yupo chini ya mbawa zake meneja John Okoth. Kiwanja ameshirikiana na wasanii wenzake mjini Malindi ukipenda chocolate city kwa kutengeneza muziki unaosifu mji Malindi na Mitaa yake.Kiwanja ni mmoja wa Legco tano,kikundi cha hiphop kilicho jikuza malindi city na kutoa vibao kama"Upishi bado" waliomshirikisha Susumila.Vilevile msanii huyu alikuwa kwenye collabo kali sana kwa jina '8onde chafu' akishirikiana na Marvin Brudaz na wasanii wengine.Kwa sasa video yake ya 'Africano' inayozungumzia maisha ya ghetto barani Afrika yalivyo.
Comments
Post a Comment