MAJID KULEKULE REVEALS SEVEN SECRETS YOU DIDN'T KNOW ABOUT HIM!
Majid aka Kule Kule ni msanii aliyevuma kwa vibao vingi tu vikali vikali vikiwemo Hali,Sinyora,serebuka,Ungenambia na vinginevyo.Mkali huyu wa flavour za swahili rnb alishare na sisi siri saba zake tusizozijua----
1.Majid hupenda kupika.
2.Majid hapendi uzururaji ovyo bali hupenda kutulia home.
3.Hapendi kuskiza muziki kwa sauti kubwa sipendi.
4.Majid hupenda sana kuskiza stesheni ya BBC
5.Hupenda kula wali sana(na hanoni!).
6.Majid hupenda kupanda maua.
7.Hupenda kupanga rangi.
Comments
Post a Comment