HUSTLA-JAY APELEKA MZUNGU WAKE WA KIKE KUONA WAZAZI!!
Ukiona
vyaelea bila shaka vimeundwa,baada ya CLD, NYOTA
NDOGO, SUZUKI, KIDIS, AMOURY BEYBIE na wasanii wengine kujikwachulia
wazungu hiphop heavyweight Hustla-Jay hajawachwa nyuma.
Rapper huyu
anayependa kupigania haki kupitia muziki wake alijishindia mpenzi wa
kizungu ambapo yasemekana alimpeleka hadi nyumbani kuona wazazi. Huku
video yake ya intercontinental scar ikiendelea kupata umaarufu,Hustla-J
amekolea kwenye mahaba ya kizungu na twasubiri kuona yatakayojiri.....
Comments
Post a Comment