KIPINDI CHA ALMASI K24 CHAKARIBIA MWISHO.
Twashuku tamati imefikia kwa kipindi cha kusisimua ALMASI kinachotia fora kwenye televisheni zetu kila siku.Kipindi hiki kilichojaa talanta za waigizaji wa pwani kimepewa sifa za ndovu kumla mwanawe ila kilicho na mwanzo bila shaka hakina budi kufikia mwisho.Hivi ndivyo alivyonakili MJ muiizaji machachari wa kipindi hicho................"Mr Mj aka Baba Chocha aka Mambo madogo.Jana ndio ilikuwa siku ya mwisho ya kushoot Almasi.Kumekuwana pandashuka za hapa na pale ila nimejitahidi kuwaridhisha mafans wangu kwa kufunga kazi ipaswavyo.Respect to Ashiner picture, Almasi artist,crew na mafans wangu wote ni kwa support yao ndio imenifikisha hapa nimefika.God bless you all....Nionyeshe upendo kwa kutoa hisia zako kuhusu Mj.
Comments
Post a Comment