DAZLAH AMSHIRIKISHA CHIKUZEE 'KALEKALE'
Yaonekana Chikuzee ndiye mfalme wa Collabo miaka hii ya sasa. Baada ya kushirikishwa kwenye nyimbo zinazokita kwenye chati za muziki kama vile Ngoma itambae na Hidaya za Susumila,Makissy akiwa na Busy'K,mapenzi nayajua yake na Chege wa Bongo.Dazla naye ameamua kufuata mkondo na kumshirikisha Chikuzee kwenye ujio wake mpya kwa jina 'kalekale.' Chini ya meneja wake Tee,Dazla amejaribu kuchanganya sauti yake na Chikuzee kuwaletea mashabiki wa pwani wimbo uliokolea fleva za pwani.Tegea wimbo huu wakati wowote kwa sasa.
Comments
Post a Comment