PRODUZA PETROOZ AWACHA KUANDAA MUZIKI!!"
Produza Petrooz ambaye ni gwiji kwenye tasnia ya sanaa ya pwani amewacha kazi yake.Produza huyu aliyekuwa Stantmastaz na kuwaandalia wasanii wengi muziki kama vile Benso,Ohms law,Dogo Richie,Miss GG,Lavichunare na wengine wengi aliamua kuingia mitini kwa muda ili aongeze ujuzi wake.Petrooz alianza kuandaa muziki tangu alipokuwa sekondari na miaka kumi na nne.Tulipowasiliana naye Petrooz alitueleza hivi............
"Sababu ni kuwa niko kisomo sahii. Sound engineering and am studying music that is theory so i wont have much time. But i will be back, remember i have been in this game for 7 years now and music zenye wengi twafanya hazina formular twafanya tu tupate pesa but this time i just wanna do real and good music once i come back."Japokuwa Petrooz hakutuelezea atakaa nje kwa muda gani.#TeamPwaniUsanii twamtakia kila la kheri mpaka atakapop rudi tena kwa game.La mwisho alitueleza hivi.........."good music takes time to be ready thats why they last forever."
Comments
Post a Comment