MWASEMA WASANII WA PWANI MSOTO??? TAZAMA HAPA UONE WALICHOFANYA WASANII HAWA!!



Amkeni kumekucha! Wakati watu wanapiga domo na wasanii kujilalamikia kwamba muziki pwani hauna mapato wasanii Nyota Ndogo na Kidis ukipenda 'the jembe' wanaringa kwa pato kuu wanalovuna kimuziki. Nyota Ndogo alidokeza kuwa kuanzia show za mwaka jana mwezi wa Oktoba amejikwachulia mkwanja kiasi cha kununua shamba.



Dada huyu anayevuma kwa kibao 'mapanya' aliweka picha yake ya shamba alilonunua kwenye mtandao wa twitter. Nyota alilonga haya,"Baada ya kufanya show kuanzia mwezi wa october na december.nimeweza kununua land hii jana.am happy.mziki unalipa." Naye Kidis amefungua duka la kuuza nguo.

Bila shaka muziki ukikukubali unalipa

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA