KWA MARA YA KWANZA WIMBO WA HIPHOP WENYE LIVE GUITAR YA GENERAL DEFAO!!
Huku sanaa ya muziki ikizidi kupanuka na wanamuziki kuwa na mitindo tofauti tofauti.Msanii wa hiphop Hustla-Jay hajawachwa nyuma.Jamaa huyu ambaye ametamba kwa vibao kama minyororo ya haki,continental scar na nyinginezo amezuka upya na kuwachia ujio mpya.Hustla ametoa wimbo ambao ulipigiwa live guitar na Onyango Onyi aliyekuwa mpigaji guitar wa muimbaji lingala mashuhuri General Defao.Pata kuusikia wimbo wenyewe hapa---------
https://soundcloud.com/hustlajaymaumau/siku-mbisha-hustlajay-ft-hakim-ziya
Comments
Post a Comment