THE LOST RING- MOVIE
Manufaa
yameenza kujitokeza jijini Malindi City,Yaani Jiji lenye mvuto
wakivyake,Jiji la Utalii na Bango.Wana MARIMBA wameachilia filamu yao
mpya hivi leo iliyokua ikingojewa na wengi kwa hamu na ghamu,filamu hii
inafahamika kama THE LOST RING. Filamu hii imebobea mastar na gwiji wengi
kama vile, Jituzee wa GBT,Marvelous, Mbuyu wa TABAKA, PrincessR, Ali Gereza
na wengine wengi.shukrani Malindi Superstars.
Comments
Post a Comment