TAMADUNI NA MILA:MSANII WA HIPHOP AFANYIWA TAMBIKO NA WAZEE.


Alipotoka Uganda kwa project yake ya 'back to the source', Hustla Jay msanii wa hiphop alipotea kidogo huku watu hawakujua amepotelea wapi. Kumbe huo muda wote Hustla-Jay alikuwa ameingia umasaini kuandaa project nyingine at the same time akifanyiwa tambiko na wazee wa kimaasai. Baada ya tambiko na wazee wa kimaasai, Hustla-Jay alichukuliwa kwa familia ya Mzee Sankale. Msanii huyo aligeuzwa jina na kupewa jina linaloandamana sambamba na tamaduni za kimaasi na sasa anaitwa Ole Sankale.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA