JE VIDEO 'AIREE' YA KIGOTO IMEZUILIWA KUTOKA NA SUSUMILA??? PATA UKWELI HAPA............




Baada ya habari kuchipuka kuwa video "Airee" ya msanii Kigoto imezuiliwa na msanii Susumila na Tk2 kutoka, meza yetu ya habari iliwasiliana na produza Tk2 kutaka kujua ukweli wa fununu hizi.

TK2 alitueleza kuwa ni kweli kuwa msanii Susumila amezuilia video hiyo ila hajui zaidi ya hapo.Video hio iliyoandaliwa na mtayarishaji video Ricky Becko mwaka uliopita ilisubiriwa na mashabiki kwa shauku kuu kwani ndiyo ya Kigoto ya kwanza.Juhudi zetu za kumtafuta Kigoto ziliambulia patupu.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA