Umeskumwa umebebwa mpaka umepakatwa.......UJUMBE MPYA WA ORDINARE BINGWA KWA KAA LA MOTO.

 
Wengi wetu tunamfahamu OB ukipenda Odinareh Bingwa kuwa msanii anayependa kusema lolote lisilomridhisha na linalomkera waziwazi. Raundi hii Odinareh amaamua kuangusha msumari moto kwenye kidonda na kunena waziwazi. Huku akimlainisha rapper Kaa la moto Kiumbe kwa usemi wake aliosema kuwa tuzo za pwani hazijawaangazia baadhi ya wasanii na hazina faida,OB alimregeshea maneno haya Kaa la moto...........
 
"Umeskumwa umebebwa mpaka umepakatwa
ukanyonyeshwa hivi sasa nguvu zote hizo superstar kwenye tuzo uko namba nne..hii ni ishara flani kua mitaa na mashabiki wapo macho.
wenzako wanajituma na kumwaga jasho wenyewe alafu waanza kulialia Mara oh cjui mbona nani hayuko oh miziki yao haifunzi...ukija jua kumwaga jasho mwenyewe na kuhangaika kukimbiza ndoto yako ndio utajua kuheshimu kaZi za wenzio.
cku ya nyani kufa miti yote huteleza.."
Tegea papa hapa kupata yatakayojiri............

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA