THE SEASIDE AND LAKESIDE COMES TOGETHER.
Wimbo mpya Wa Odinareh Bingwa #Tunazidikuwa aliomshirikisha msanii Wa kisumu Poppa Don wapokelewa vyema Kisumu
na Nairobi..wimbo huo ambao chini ya masaa manne ya kuachiwa ulichezwa
katika station za Homeboyz radio na Hot 96 na kuachiliwa rasmi kwa show
ya Dj finalkut hiphop culture jumamosi kwenye Homeboyz redio..Leo Atakua
kwenye mambo mseto na mzaZi Tuva kwenye hiphop Tuesday akiendelea na
harakati hizo.
Comments
Post a Comment