MSANII/PRODUCER LAI AMDOKEZEA TK2 'NUMBER ONE NI SISI SIO NYINYI'.............pata uhondo hapa
Msanii gwiji anayetokea pande za kilifi ambaye vilevile ni producer mashuhuri,Lai au ukipenda LailaiTena alipachika maneno kwenye ukurasa wake wa facebook ambayo yanazua maswali mengi. Sote tunajua kuwa produza TK2 baada ya kutoka Hornet records ndiye ambaye anataka kuanzisha studio yake kwa jina NUMBER ONE RECORDS, producer Lai ambaye ana wimbo mpya kwa jina SPECIAL akimshirikisha Chikuzee naye hakuchelewa kuandika hivi akimpasha TK2 ,tukimnukuu...................
"Wakitaka kujiita Numbr ONE waache wajiite na hata wakiDAI wao ndio BORA niwadai TU..ILA ikifika kwa watu wachague Numbr ONE watatuchagua sisi maana sisi ndio twafanya UBORA.."
HABARI NDIYO HIYO KAMA CHUNGU TEMA!
Comments
Post a Comment