ABRAH BINO AWACHLIA VIDEO MPYA
Ni msanii aliyehamia Nairobi toka papa hapa pwani,tunamzungumzia Abrah Binoh ambaye ni binamuye Chikuzee. Msanii huyo hapo jana aliachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na ghamu, video hiyo ya wimbo wake mpya amewashirikisha wasanii gwiji wanaojulikana kama AFRICANATION.
Hivi ndivyo alivyonena tulipomhoji............"nalaunch video yangu na afrikanation muziki at tribeka club kwa Tuva date 7 October.audio ilifanywa na produza Babz on the track na video Ni ogopa deejays."
kuanzia dakika hii isubirini video yenyewe kwenye runinga zenu.
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete