KAA LA MOTO AJIBIWA NA ESCOBAR!!!
Ni juzi tu pale ambapo msanii Kaa la moto alimtaja Escobar kwa wimbo HANIWEZI na kusema kuwa Escobar amepotea kwenye game na hawezi tena. Escobar naye ni juzi tu alikuwa ametoa wimbo YENDE YUYE na alipachika maneno haya kwenye ukurasa wake wa facebook......
"KAHERII!!!..Babake marti natimba kila chimbo,sina tym na beef mi nasaka bingo,haina shanapa kila mwaka mi nagonga,nafanya vitu vyangu nikiwaacha wakibonga,am a star of ma own sitegemei cartel,show natandika na mziki una sell,wanashangaa ninavyo tafuna kokoto,asikwambie mtu hapa mistari fogo....MBINDEMBINDE ZINA ENDELEA."
Ukisoma vizuri maneno yake amefunguka na kusema hadharani kuwa hategemei cartel au kikundi chochote ili kufanikiwa kimuziki.
Jibu ndilo hilo tungoje Kaa la moto naye tuskie pande yake.
Comments
Post a Comment