KUPATA TUZO HAIMAANISHI WE NI MKALI,KAA LA MOTO AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA MUZIKI!!


Rapper gwiji anayetokea hapa pwani, Kaa La Moto Kiumbe ameamua kufunguka na kusema yanayomkumba moyoni kuhusiana na tuzo zinazoendelea pwani. Kaa La Moto ambaye pia ni host wa kipindi cha Pwani TV hiphop teketeke alionyesha kutoridhika na uteuzi uliofanywa na pwani celebrity awards na hivi ndivyo alitangulia kunena...........

"Msanii mwema Aka Kaa la moto Kiumbe Aka Kessi nauliza..Vipi katika hizi TUZO mbona tunamsahau AMOURY BEIBY and 22..ESCOBAR and P DAY....DJ BUNDUKI and DJ BADAGA...But pia najijibu mwenyewe KUPATA TUZO HAIMAANISHI WE NI MKALI...Unawezakuwa Mkali au umependekezwa Ukali..Anyway Big Up to COAST SHOWBIZ...(Unapata Tuzo ujione noma,wakati umegoma hutoi funzo kwa kila ngoma).. # Nitapigiakura mtu ninaemkubali,naninayemkubali haombi kura kama Hawa.From.Common Mwananch ambaye ni shabiki wa mziki wa Pwani"

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA