MANUEL NTOYAI EDITOR WA SPICE MAGAZINE LA PEOLE DAILY AWASIFU SANA KIGOTO NA SHEMBWANA!


Huku sanaa ya pwani ikizidi kuliteka soko la Nairobi, Shembwana na Kigoto wanaonekena hawajaachwa nyuma kwani tayari wameshaanza kutajwa.
Hii ni baada ya editor wa jarida la sanaa linalovuma kwa jina Spice linalotokea kwenye gazeti la People Daily Manuel Ntoyai kuwapa kongole wasanii hawa na kusema kuwa amesikiza sana muziki wa pwani ila wanaomvutia sana na waliona uwezo mkuu kimuziki ni Kigoto Mbonde na Shembwana Masauti. 

Kigoto Mbonde

Shembwana Masauti

Manuel alipendezwa sana na utunzi wa wimbo RIDHIKA na KICHAPO CHA MAPENZI za Kigoto na SIWEZI ya Shembwana.
"Pwani kuna vipaji kweli na si uongo na wasanii hawa wawili naona watafika mbali sana kwani wamejaliwa na vipaji na wanavifanyia kazi kadri ya uwezo wao,. They have great potential to make it in music, if they remain steadfast in the game." alinena Manuel na Pwani Usanii. 

Spice Editor, Manuel.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA