KUTANA NA KEV-O

Katika pitapita zangu nilipatana na msanii anae chipukia wa nyimbo za injili kwa jina la Kev-O na kuamua kujua mawili matatu kuhusiana na mziki wake..
P.U: Mbona uliamua kufanya mziki wa injili??
Kev-O:Maisha tu! bro smtyms inabidi tubadilike kabla ujana utupeteze.
P.U: Una maanisha nini ukisema maisha tu! ebu fafanua kiasi..
Kev-O: ok kwa kifupi maishani kuna mda wa furaha na wa dhiki,ila kwangu dhiki ilizidi furaha,hp umenipata..na wote niliowategemea ama kudhani wangesmama na mimi wakati huo mgumu,waliniumiza zaidi sababu hata niliyempenda aliniacha,so nkaona bora nimrudie mungu wangu,juu ye ndo tegemeo na mtetezi la wanyonge.
P.U:oh thanks kwa kufunguka.
P.U:Unafanya kazi na studio na studio gani??
Kev-O:kama kawaida niko na Jungle Masters kwa na mzazi wa ukweli papa EMMY DEE.
P.U:Ni mdaa sasa tangu utoe wimbo wako NAKUHITAJI..mashabik­i watarajie nini kutoka kwako??
Kev-O:Mashabiki watarajie mengi kuna project zinakam kuna ngoma mbili naeza release kabla DEC. ama hapo mwanzo wa DEC.
P.U:Labda kuna Collabo?
Kev-O:yap kuna kibao nafanya na msanii kutokea Nairobi kwa jina la KANIVO.
P.U:na unafanya mziki solo ama labda uko na group?
Kev-O:kwa sasa nafanya kama solo artist bt kuna group ya wasanii tunasaidiana na mawazo za kimziki..inajulikana­ kama MILESTONE MUSIC GROUP..
P.U:changamoto gani unapitia kama msanii wa Gospel?
Kev-O:kwa kweli mziki wa injili inaitaji kujitolea na uvumilivu maana changamoto ni nyingi,watu wanakuchukulia kama saint.
P.U:kivipi?
Kev-O:ma judge ni wengi hata ukikohoa utakumbushwa we ni msanii wa gospel,wanasahau hata wasanii wa gospel ni binadamu.
P.U:na una overcome aje hzo changamoto kama msaani?
Kev-O:Mungu anasaidia,ni maombi tu! kwa uwezo wake twavuka tu.
P.U:apart from music wht do u do better?? labda chenye ur fans hawajui?
Kev-O: am a gd dancer,i ws a dancer b4 nianze mziki na pia ma a footballer.
P.U:neno la mwisho kwa wasanii wenzako?
Kev-O:Ipo siku ntatusua..
P.U:asante kwa mda wako na kilala heri kwa kazi zako.
Kev-O:asante

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA