NYOTA NDOGO AWAAMBIA WASANII WAVUE CHUPI!!!!! pata uhondo hapa...............
Nyota Ndogo au ukipenda mama mlezi wa sanaa ya pwani ana jambo la kuwaambia wasanii waliona tabia ya kupiga picha wakiwa nusu uchi kama njia ya mauzo au kupata 'fame'.Msanii huyu alikuwa na haya ya kunena.
"Kama usanii ni uchi ndio munapiga picha za kutuonyesha miili yenu.vueni mpaka chupi tuone kila kitu msituzingue bana VUENI CHUPI TUONE."
Comments
Post a Comment