SIJASAHAU MUSIC LYRICS BY DOGO RICHIE


Verse 1
Wooo wooo wooh ,yiyiyiyi iii papa emmy eeih papah emmy eeih aaah aah..............
maisha makali kuyang,ang,ana sivyema mpenzi tunagombama
sio vizuri unanioneaah aah, kila wakati kuzomeana kufanyanya mambo kukosa maana csivizuri unanionea aah,mchana usiku na gangamala jua kali linalonichoma maumivu mengiii aaah
 

chorus
ee ee e ie ehee ahadi bado sijasahau ooh ooh ôoh jamani ooh kuwa nawe ni jukumu langu .aiye aiye aiye eeh mapenzi tupeane...

verse 2
zikipita siku mbili mpenzi hujanione wewe usichoke nisubiri labda kazi zimekuwa nyingi aah ,siunajua mnyapara wetu supervisor ni mkali sana ,ikipita roll cal na sipo kazi unga tumeumwaga
kazi hizi za kuungaunga leo unadili na kesho hauna tutatoa wapi cha kutafuna aa na pesa sina ,mapenz kwanza sivyo hivyo ooh mapenz ya kulaumiana mapenz kwanza sivyo oo nikuaminiana..

choru­s

repeat verse1

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA