RIDHIKA LYRICS-KIGOTO MMBONDE


VERSE 1
kale kapenzi uliko nipa jana,kalinizuzua machana kutwa
Kakafanya nikalala sana,hadi kuamuka nikajivuta vuta
Kizuri sipati ,nisipokuona wangu mwana sesere,na mimi sikikuachi,hadi siku ya vigele gele,
Najua watakuja sana,wenge hao masharobaro,watakutu­a na kila namna huku masilver,huku ming'aro
ila chukulia kama kawa,wasikuzuzue na zao jerojero,wasije kusambaza kama dawa,kukutumia leo kukuacha machero.....mamaa

Chorus
Mami ridhika,na kipenzi kidogo kile nachokupa
Kutafuta ndo kunanyima hakika,takupa yote punde nitapopata...
Wee kwangu kama zaree,niloshushiwa na mungu mwenyezi,
Wengine naona wakwaree,unayajua ya kizungu mapenzi, mamaaaa....

Verse
ukilia ukitabasamu,usoni mwako kunatokea ka dimple,
Shikilia nijaze hamu,waoneshe vituko wape maringo,
Mukono wako unaponishikilia,mwen­zako naisi kusisimuka,
Usoni mwako unaponiangalia,naket­i rahisi siezi nyanyuka,
Najua watakuja sana,wengi hao masharabaro,watakutu­a na kila namn,uku masilver uku ming'aro,ila chukulia kama kawa,wasikuzuzue na zao jero jero,wasije kusambaza kama dawa, kukutumia leo kukuacha machero,....mamaaa

Chorus


Brigde

Twende nikupeleke nyumbani uukamuone muzazi tk2
Twende nikupeleke nyumbani ukamuone mujomba yusufu,
Twende nikupeleke nyumbani nyumbani kwa mama kigotoo,
Twende nikupeleke nyumbani nyumbani Horneti rekodi....

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA