ORDINARE HACHOKI KUWAKOSOA PRESENTERS............Soma hapa
For a long time, wasanii wa pwani wamekuwa wakirushiana maneno in public, but round this inaonekana bulls eye imechange hadi kwa radio presenters.
Kulingana na Odinareh Bingwa, kuna presenter flani wa hapa Mombasani ambaye amekuwa akidai za macho au ukipenda hongo kutoka kwa artistes upcoming.
“Huyu jamaa amekuwa akiitisha hela kutoka kwa wasanii na wale ambao hawampi hachezi mziki wao, na hata akicheza, kazi yake ni kuikashifu.” OB aliambia magazine ya Tribe 43 ya PEOPLE DAILY.
Juzi juzi OB amekuwa kwa limelight after wameokotana na presenter wa Pwani FM Eric Gates, baada ya Gates kutoa rangi ngoma ya OB inayojiita nusu saa na rais.
Comments
Post a Comment