THE NOTORIOUS NUMBER ONE RADIO FAN SHADY MCHOKOZI SHARES WITH US HIS TOP FIVE BEST COASTKENYA RDIO PRESENTERS!!!!
Anajulikana kwa usumbufu wake kwa kuchangia kwenye mijadala na kurequest nyimbo kwenye stesheni za redio za pwani; ndiposa jina SHADY MCHOKOZI linamfaa.
Bingwa huyu ambaye ni shabiki sugu wa sanaa ya pwani huwa bingwa kwenye mitandao ya kijamii na kamwe hakosekani kwenye matamasha na hafichi kwa kuwakosoa washika dau wa tasnia ya pwani hadharani.
Mchokozy alitupa list yake ya redio presenters anaowaenzi pwani.
Nao ni kama wafuatavyo:-
1.Dj Gates Mgenge-pwani fm
2.Sis shanniez-radio kaya
3.Arnorld munga-pwani fm
4.Farida Ali-bahari fm
5.Chigulu Ngala-pilipili fm
Comments
Post a Comment