Posts

Showing posts from 2014

KUTANA NA MSANII WA KIZAZI KIPYA KEN-MWENYEWE AFISA WA KWS ANAYEPIGANIA HAKI ZA WANYAMA PORI.

Image
Ni Afisa wa KWS ambaye anafanya muziki na amejitolea kufa kupona kulinda wanyama pori.Tulipata kumhoji Ken na hivi ndivyo mambo yalivyojiri..... Pwani Usanii:Wanakuitaje jina lako halisi na lile la usanii? Ken:Jina halisi la kitambulisho ni Kennedy Opiyo Onyango na la usanii ni Ken Mwenyewe. PU:Una miaka mingapi? Ken:Mi bado mtoto,nina 24 tu. PU:Unatokea wapi? Ken:Mi ni mzaliwa wa pwani na naishi Kinango ila nafanya kazi ya kulinda wanyama(KWS) Nairobi. PU:Ulianza muziki lini? Ken:Muziki nilianza nikiwa na miaka ishirini nikitunga rap music ila baada ya muda nikaona kipaji changu kina uzito sana pande ya rnb.So,naimba swahili rnb. PU:Tueleze kuhusu wimbo wako wa kwanza. Ken:Wimbo wangu wa kwanza nilirekodi Ziky records chini ya produza Johny Blaze.Wimbo wenyewe uliitwa saluti wa kuhamasisha jamii ili waweze kuona manufaa ya kuwalinda wanyama pori. PU:Kazi nzuri.Kuna wimbo wako uliovuma kwa jina 'mama usinifiche'.Tueleze kuhusu wimbo huo. Ken:Wimbo huo niliurekodi R...

COAST KENYA BEST MUSIC VIDEOS 2014

1.Coast Shwari-Kingsting & Dokta 2.Nimebadilika-Brown­ Mauzo 3.Phonto-Benso 4.Natamani-Brown Mauzo 5.Usiniulize-Chapati­zo 6.Usijali-Iddi Hemedi 7.Naona raha-Ally B 8.Naona bado-Sudiboy & Amileena 9.Intercontinetal scar-Hustla Jay 10.Kitete-Amoury Beybie 11.Ngoma Itambae-Susumila ft chikuzee 12.Bangereba-Dazlah 13.Baridi-Amoury Beybie & Nyota Ndogo 14.I do-Benso ft Miss GG 15.Yelele Yelele-Ally B 16.Hawajui-Rojo-Mo 17.Sijasahau-Dogo Richie 18.Jitambulishe remix-Rapdem ft Coast stars 19.Nylon guitar-P Day 20.Msup-Sis P & Nick Mumba 21.Nipe tena-Mwasi ft Band Kays 22.Mapenzi nayajua-Chikuzee ft Chege 23.Siwezi-Shembwana Masauti 24.Mimi pia-Rojo Mo 25.Kibebe-Chikuzee 26.Mia kwa Mia-Kaa la Moto 27.Tabasamu-Sis p 28.Usijisahau-Kalich­a 29.Mdogo mdogo-Sherphard 30.Ndoto-Shamaniz

TIMMY WA KIBAO 'WELL WELL' NA MEG-C WAFUMANIWA!! (PICHA)

Image
Msanii anayetamba kwa kibao well well na msanii mwanadada Meg-C walishikwa vipembeni hivi majuzi wakati wa tamasha la coast music awards.Wawili hao ambao wote ni wasanii wa Nairobi walionekana wakifuatana kama mabata na mwishowe Meg-C alimfuata Timmy nyuma nyuma hadi chumbani mwake.Kilichofuata usitake kujua..........

KUTANA NA ZIKY WA ZIKY: MWANAWE EMMY DEE

Image
Studio ya Justers masters inafahamika sana kwa ulezi wa wasanii wapya.Chini ya mbawa zake produza Emmy Dee na Malezi yake Prince Adio kutana na kipaji kipya kabisa,Ziky wa Ziky,,,, Pwani Usanii:Tueleza Ziky ni nani? Ziky:Mimi ni Ziky aka Ziky wa Ziky,mzaliwa wa Kwale.Kazini Ukunda Ibiza. Pwani Usanii:Ulianza muziki lini? Ziky:Nilianza mziki mwaka wa 2010 ila kurekodi ilichukua muda.Sikuwa na kazi wala familia ya kunisaidia.Ilichukua miaka mitatu kuurekodi wimbo wangu wa kwanza ambao n MAMA WANANGU,studio ya Jungle Masters kwa produza Emmy Dee. Pwani Usanii:Changamoto zipi unapitia kama msanii? Ziky:Kama tujuavyo kuitwa msanii ni kitu rahisi ila kulijenga jina liwe kioo cha jamii inachukua muda. Pwani Usanii:waweza sema muziki umekufikisha wapi? Ziky:Kwa sasa Emmy Dee ndio mzazi yaani yeye ndio anausimamia mziki wangu na namshukuru kwa kunipa nafasi hio nilokua nikiitamani kwa hamu kuu. Pwani Usanii:Ziky waweza toa shukurani kwa nani na nani? Ziky:Nawashukuru radio prese...

SIS P AONGEA KUHUSU USHINDI WAKE-KENYA COAST MUSIC AWARDS 2014!

Image
Mchumia juani hulia kivulini, juhudihulipa ndio misemo tunayoweza kumpa msanii wa Kike Sis P. Msanii huyu mwenye vibao vinavyotamba kama MSUPA na TABASAMU alishinda tuzo za Kenya Coast Music Awards jana na alikuwa na haya ya kusema....... "I want to take this opportunity to thank the almighty God for this far he has brought me, i never knew i would be recognized anywhere but here I am. Winning this award means alot to me, thanks to my loyal fans who have been supporting me through thick and thin, A big thanks to my producer Rabizzle for fighting with me. My mum for encouraging me every morning. Thanks to all radio presenters, Djs and the entire coast music fraternity for making my music reach my fans out there. Am really humbled and grateful. Thanks for making me the Queen! I love you all."

WINNERS KENYA COAST MUSIC AWARDS 2014

Image
1.Freelance Dj of The Year-VDJ PHAUZ 2.Television Vj of The Year 2014-VDJ PHAUZ 3.Male artiste of the year-Sudiboy 4.Female artiste of the year-Sis P 5. Male Radio Presenter - Billy Miya baraka fm 6. Female Radio Presenter - Nelly Mwikamba baraka fm 7.Radio Show (Coast) - Tiba Ya Mwambao baraka fm 8. News Anchor - George Otieno baraka fm 9Dj Lenium-SHOWBIZ GURU OF THE YEAR. 10.Dj Tally-Club dj of the year 11.NAONA BADO BY SUDIBOY & AMILEENA-BEST COMPOSED SONG OF THE YEAR 12.NAONA BADO BY SUDIBOY & AMILEENA-COLLABO OF THE YEAR 13.SUDIBOY-MALEARTIST OF THE YEAR 14.AUDIO PRODUCER OF THE YEAR-PRODUCER AMZ 15.BEST ENTERTAINER OF THE YEAR-DAZLA 16.Taarab presenter of the year-Bishara Aden pwani fm 17.Promising artiste of the year-Alkenia-Luv 18.Best video of the year-Phonto by Benso & Miss GG 19.Hip hop artiste of the year-Kaa la Moto 20.Best video producer-Bullet 21.Best dance crew-Tsunami Dancers 22.Radio presenter promoting vernacular language-Beatrice Dama radio kaya 23.Ngo...

SISTA SHANIZ AJIBIZANA VIKALI NA BACKSTREET ENTERTAINMENT!

Image
Huku mabo yakiwa dijitali sana na vyombo vya kupitisha habari vikizidi,pwani haijawachwa nyuma.Tulianza na vituo vya habari hadi sasa tunao bloggers wakali wanaotembeza habari sio za sanaa pekee bali za kila aina.Huku blogger Backstreet entertainment akizidi kupamba moto na kuwapa habari za sanaa ya pwani pindi zinapochipuka.Radio presenta Sista Shaniz wa kipindi Kaya Flavaz cha radio Kaya yaonekana hapendezwi na kazi anazofanya blogger huyu na hakuchelewa kumuingilia.Papo hapo majibizano yalizuka kwani Backstreet entertainment hakutaka zuri au baya la presenta huyu wa kike.Hivi ndivyo mambo yalivyojiri.............

KUTANA NA PHILO BLIVER:MSANII PRESENTA

Image
Pwani usanii:Ulianza muziki lini? Philo Bliver: I joined music industry last year 2013 nilikua kwa group twajiita Believers family ya watu watatu ndugu zangu. Pwani Usanii:Bado kundi hili lenu lipo ama? Philo Bliver:Kwa sababu niko mbali nao mara nyingi mi huimba tu peke yangu.   Pwani Usanii:Una yapi ya kuwaambia mashabiki zako? Philo Bliver:Nashukuru Mungu ju watu wengi waliosikia kazi zangu wanazidi kunipa moyo wa kusonga mbele zaidi. Pwani usanii:Mbali na usanii,wajihusisha na nini? Philo Bliver:Mbali na usanii mimi pia ni mwanahabari wa Sheki f.m reporter pia presenter. Pwani Usanii:Lengo lako kubwa kwenye sanaa ya muziki ni ipi? Philo Bliver:Lengo langu kubwa ni kutaka kuona kwamba watu wanasikia nyimbo zangu Afrika mashariki na ulimwengu mzima. Pwani Usanii:Wewe kama presenta unaweza saidiaje wanamuziki wenzako? Philo Bliver:Niko tayari kukuza vipaji ambavyo mpaka sasa vipo chini ya maji.Msanii yeyote anayefanya gospel yuaweza nipa nyimbo zake bila hata shilingi ili n...

LIZZ JAHSOLJA:"Studio kulipisha 2500ksh kwa one hour.Wanamuziki wa pwani watatoboa?"

Image
Mwanaharakati na shabiki sugu wa sanaa ya pwani Lizz Jahsolja amefunguka kuhusu malipo yanayotozwa kwa studio za pwani.Lizz amelinganisha malipo ya studio za pwani mwa Kenya na Dubai anakofanya kazi.Dada huyo alidai kuwa Studio za Dubai ni ghali sana zikilinganishwa na studi za huku.Studio za hapa pwani zalipisha 4000ksh hadi 8000ksh.Tukimnukuu Lizz alipachika haya kwenye ukurasa wake wa facebook..... "Aki studio dubai ziko gali jamani dah..yani msanii ukienda studio ni 100 dhirhamz(ksh2500) per hour na hiyo umewachiwa studio ufanye mwenyewe mastaring ama kama una producer wako afanye mambo...ukitakakuundiwa beat plus mastaring ni 400dhirhams(ksh9000)per hour..sasa per hour hiyo yatosha kumaliza ngoma na mastaring jamani...Wasanii coast mwadekwa na maprodecer na bado mwacomplain..ingekuwa studio zalipisha per hour naona wengine hatungeimba..."

"Mic check.Sijaacha muziki" CRAZY-K AFANYA KAZI MPYA GRANDPA NA MSANII MASHUHURI WA NAIROBI.

Image
Walimuita bingwa wa commercial hiphop pwani;Crazy-K yuleyule wa Rebeca.Msanii huyu alipokimya kwa sana na watu kudai kuwa amewacha muziki mara ameshindwa na game mara amekuwa rubani sijui amekuwa manamba wa ndege,Crazy-K alikuwa studio busy akiandaa album yake.Kwa sasa msanii huyu yupo na ujio mpya kwa jina 'MIC CHECK' ndani ya Grandpa records na amefanya kazi na msanii mashuhuri Nairobi.Tulimuuliza kuhusu wimbo mic check na Crazy-K alikuwa na haya ya kunena, "Droping on Tuesday 22nd... featuring some well known artist from Nairobi jina nitaficha for now, it will be a double release coz am releasing another track same week, inaitwa "sijaacha mziki."
Image
Mambo sasa ni wazi kuwa hakuna uhusiano wowote wa kimapenzi baina ya msanii Nick Mumba na Sis P. Sis p anayevuma kwa kibao MSUPA alichoshirikiana na Nick yadaiwa alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na msanii huyo waliofanya kazi pamoja.Kwenye interview na gazeti la PEOPLE DAILY Sis P alidai kuwa hana uhusiano wowote wa kimapenzi na msanii Nick Mumba. Tukinukuu kutoka kwenye gazeti lenyewe hivi ndivyo alivyosema alipoulizwa .............there have been rumours that you are item, is this true? "I would love to clarify that we are only dating musically. I am currently seeing someone else and there is nothing more than friendship.

WASANII PATA NAFASI YA KUTENGEZEWA VIDEO ZA BURE KABISA FREE OF CHARGE ALBUM NZIMA NA KUFANYIWA MARKETING PIA!!!!!!!

Image
Kama wewe ni msanii,basi wakati umefika ili kipaji chako kitambulike.Pata kujishindia zawadi ya kipaji chako kwa kurekodiwa muziki wako na kuandaliwa video bure kabisaaaa.Sio waimbaje pekee pia dance,acting,comedy na modelling vilevile inakubalika.Fikeni COCONUT BREEZE HOTEL MTWAPA tarehe 28th December saa tisa jioni hadi nne usiku.Tamasha hili limeandaliwa na PWANI HOUSE OF TALENT na linataka kukuza vipaji halisi vya pwani.Kutakuwa na tamasha la talent search ambalo litakuwa na category kama zifuatazo:- 1.music 2.dance 3.acting 4. comedy 5. modelling Winners music category will get 5 years recording audio/video shoot free,management and promotion deal. models will sign 5yrs contracts with various companies dancers/comedians/ will get video shoot of their dances/­entertainment contract for five years actors will receive free film shooting,sales,promo­tion and management deal and we will sell them both locally and intentionally. Entrance is 150(soda inclusive) VIP is 500 ...

WASHINDI WA MTWAPA TALENT CHALLENGE!!! This is how it went down!

Image
Jumamosi ya tarehe 13 pwani usanii ilizuru maeneo ya Mtwapa kwa tamasha la Mtwapa Talent Challenge season one lililofanyika Mtwapa secondary School.Tamasha hilo liliandaliwa na Ali Nassir wa Mtwapa football Talent Association na Cheche media.Judges wa Tamasha hilo walikuwa msanii Alkenia Love,P-day,KentMoses wa Pwani Talent House,pwani Usanii bloggers na Mama Shantel.Wasanii,Dancers,Acrobats,Models,taekwondo and Karate specialists hawakuachwa nyuma.Wote walikuwa tayari kuonyesha talanta zao.Huku wasanii wakijitokeza kwa wingi kama vile :- Traders,Young Dubiz,Cool Giggs,Genexo,DonBabu,Rapp Kamp,Ommy King,Young Billionare,Borntown,KUTO na KITI.Dancers vilevile walikuwepo wakunenguo viungo kwelikweli.Makundi tofauti ya sanaa yalijimwaya uwanjani na mwisho wa siku washindi walikuwa hawa: MUSIC CATEGORY 1.Genexo(Ip and C-dorf) 2.K.U.T.O 3.Young Dubiz DANCE CATEGORY: 1.Lunatix 2.Mtwapa secondary 3.Hard DC ACROBATICS CATEGORY 1.Black damond 2.Five power kids 3.Kenyan boys SP...

DONDE SAMORA: "DIAMOND PLATINUMS SHOGA SHENZI TYPE!!"

Image
Bingwa wa miondoko ya Bongo flava Diamond alikuja pwani sio kuperform pekee bali kuwasinya na kuwadhalilisha wasanii wa pwani.Kwa visanga ambavyo vilitokea,presenta Donde Samora ameamua kutocheza muziki wa Diamond na akadai kuwa kamwe hampendi. Na hivi ndivyo alivyolonga kupitia facebook........ "Diamond Na Ushoga Wake Aende Zake!!...Na Ndo Maana Mimi Sipendi Kuhudhuria Hizi Show Siku Hizi.Yaani Maji Ya Kunywa Tuuu??Maji Tu??Maaaaaji?...Mwawanyima Wasanii Wetu Tunaowaheshimu Maji??Na Kuwatimua Kwenye V.I.P Arear??...Sipigi Tena Song Ya Diamond Mpaka Mwaka Ujao...Shenz Type!!

AWARDS ZA KENYA COAST MUSIC ZANUKIA

Image
  Tulisubiria poster hii kwa muda mrefu sana na kama muonavyo mambo yashakuwa shwari.Tarehe ni 19 mwezi uu huu.Tutegee washindi na washindwa na washindani.Thallasa lounge ndio mango mzima.

KUTANA NA KING WA RHUMBA KENYA ANAYETOKEA PWANI: PRINCE CHEF DE ETAT MAJOR

Image
Leo tumepata kumhoji mkali wa miondoko ya rhumba na lingala anayetokea papa hapa pwani ila amechukua cheo cha ufalme wa rhumba Kenya nzima.Jina lake ni Prince Chef De Etat Major. Pwani Usanii: Prince Chef de Etat Major ni nani? Prince Chef:Jina langu kamili naitwa Prince Odhiambo.Nilizaliwa mitaa ya Barsheba papa hapa Mombasa. Nilikuwa mwana muziki na Banoko international du congo Mombasa miaka minne.    Pwani Usanii:Sasa tupe safari yako ya maisha kwenye ulingo wa muziki wa rhumba.   Prince Chef:Niliingia pwani fm kama assistant producer nikimsaidia dada Tima Kisasa kwa kipindi cha rhumba kila Jumamosi. Sikukaa sana nikaenda Nairobi pale nilingia Ktn nikawa nasaidiana na Mwashumbe wa radio maisha kuleta wanamuziki wa Congo pale kuhojiwa na kucheza miziki yao. Kisha nikaingia pale kwa kipindi cha rasha rasha KTN pia kazi hio hio mpaka mwisho ndio nikajiunga na pwani tv october. Pwani Usanii: Unajihusisha na nini kwa sasa?   Prince Chef: Kwa sasa niko ...

MTWAPA TALENT SEARCH SEASON ONE

Image
Come show your talent in Dance, Singing, Drama /Skites , Acrobatic and special talents i.e. modelling, taekwondo and karate demos ,e.t.c. Registration; per group 400ksh single 300ksh Venue; Mtwapa Secondary -Mtaani, Maweni MTWAPA. From: 9am-6;30 pm 13th Saturday December Prizes:Each category winner gets 5000ksh,2nd winner 3000ksh and 3rd 2000ksh

BENSO AFUNGUA RASMI WEBSITE YAKE YA MUZIKI.

Image
Msanii aliyeshinda tuzo ya Pwani celebrity awards 2014 male artiste of the year Benso ameamua kueneza muziki wake kwa njia nyingine.Benso anayetamba kwa kibao chake I DO amefungua website mpya ya kusambaza muziki wake. Msanii huyu alipachika haya kwenye kurasa zake za facebook kuhusiana na website yake mpya..................."OFFICIAL BENSOMUZIC website www.bensomuzic. com This is a better platform of interacting with you my fans, get to know more about me music, watch my videos easily, Be On the Know Of new releases, scheduled events & performances, gigs, fun days. There is also platforms for downloading & Buying my Music KEEP IT BENSO Click www.bensomuzic. com And let's Share my world" Kwa hivyo shabiki wa Benso usichelewe kubonyeza www.bensomuzic.com kupata yanayojiri ya msanii wako.

HAIYAAA ANGALIA DJ LENIUM AWAPATA POLISI WAKIFANYA NINI NA KUWAPIGA PICHA????? UTASHANGAA!!

Image
Inaonekana washika dau wa sanaa wameamua kuwaingilia polisi wa trafiki raundi hii.Baada ya Dj Mo kuwapiga polisi waliomtatiza bila makosa na kutaka hongo, Dj Lenium wa hapa pwani hajawachwa nyuma.Lenium aliwapiga picha polisi wa trafiki wanaopatikana pale lights kwa kuzembea kazini na kuwa wavivu.Polisi hao ambao wameonekana wamesimama na kuota jua badala ya kufanya kazi hata baada ya eneo hilo kuonyesha wazi kuwa halijawekwa traffic lights zozote jamaa hawa hawana haya kabisa,wamesimama tu bure.Lenium hakuchelewa kuwaaibisha.

MEET DJ PAUL SPREADING THE WORD OF GOD THROUGH TURNTABLING:

His real names are Paul Tito but they call him DJ Paul when he starts mixing. Paul started deejaying in 2012 back in secondary school days. For him it was a little bit hectic but he survived and became an expert in that field. Dj Paul does gospel mixing only to give thanks to God for the talent he has given him .Ten years from now Dj Paul sees himself in the international scene spreading the gospel to the people through scratching. Paul was once a guest dj on the off the hook show on baraka FM and has hosted many events in Mombasa

KUMBE HUYU NI DADDY Q??ANGALIA ANAFANYA NINI NA PRESIDENT UHURU KENYATTA!!

Image
Huku wasanii wengine wa pwani wakilaza damu,Daddy q ameamua kumtafuta rais Uhuru Kenyatta ili kumrekodi kwa camera au kumpiga picha.Baada ya hapo kama kawaida hatokosa kujigamba facebook kama wasanii wengine.

KITENDAWILI? TEGA! SOMA KITENDAWILI CHA MSANII NYOTA NDOGO CHA KUTAFUTA PESA.................................umpe jibu

Image
Alianza muziki zamani na kweli ametuhakikishia kuwa muziki unalipa.Nyota Ndogo ambaye kwa sasa wimbo wake pamoja na albamu yake ya mapanya ipo sokoni alituangushia kitendawili cha jinsi angelitumia pesa zake. Kitendawili? Tega!..............."Nimeshindwa kulala I need your help. am thinking about doing some biashara. nimeona hii nyumba nimetaka kununua b ili niipangishe nitape hela ya kila siku.b ut kila mwezi ntakuwa napata 15k. then nikaona probox gari ambayo nikinunua itanipa elfu tatu kwa siku na kwa mwezu ni 93,000. gani jichukue nyumba itachua 10years kurudisha hela yangu but probox only one year kurudisha hela hio" Mtegulie kitendawili hiki Nyota Ndogo.

EVE QUEEN ADHIAMBO ETI YUPO JELA.........pata ukweli hapa

Image
Eve Queen Adhiambo ambaye wengi wetu tunamjua kama Eve wa Nzumari amekuja wazi na kutupilia uvumi eti yeye yupo jela Shimo la Tewa.Alipachika haya kwenye mtandao wa facebook................................. "OMG am shocked receiving calls ati niko shimo la tewa hahahahaha jamani aki those spreading false rumours about me May the Lord punish u, like really what have I done to u mpaka u try tarnish my name to that level? Nway the bible says when u try to workhard and achieve ur goals pple will hate u, I leave it to God." Ukweli ndio huu.

MALINDI RECORDS ETI IMEFUNGWA????SOMA UKWELI HAPA........

Image
Palipotokea uvumi eti studio kali MALINDI RECORDS imefungwa.Mmiliki wa studio hiyo amejitokeza na kusema hadharani kuwa malindi records bado sana na itaendelea kufanya muziki kama mila na desturi.Yohana Okoth ambaye ni lawyer na ceo wa Malindi records mwenye hela kibao kama inavyosemeka yupo ngangari kinoma kuisimamia kwa hali na mali. Okoth Oyiera, "This kind of pettiness is expected with success and I appreciate you have recognized our status as a powerhouse in the Kenyan Music industry. We are aware of who sponsored this update and we will deal with them accordingly (physically)." Tuliwasiliana na msanii wa hiphop ambaye pia ni rafikiye mkubwa wa Yohana Okoth na alituambia hivi," poa one thing watu wanapotray industry Mombasa nakuiangusha people trust media and believe kila kitu wanaona writting, mtu anafaa kuwa careful juu hiyo imechangia respect ya wasanii Mombasa kuwa chini."

SIS P AWALAUMU BLOGGERS WA PWANI.

Image
Sis P ambaye kwa sasa anatamba sana kwa kibao chake alichoshirikiana na Nick Mumba kwa jina Msupa, aliposema hawezi kufanya kazi na wasanii wa pwani eti yeye yupo level zingine mashabiki walimuingililia na kumdhalilisha vilivyo. Vilevile mshika dau wa sanaa ya pwani kwa jina Lizz Jahsoulja alimkata makali na kumtoanisha hadharani kuwa hana haki ya kujiringa na kuwadhalilisha wenzake.   Alipohojiwa na Editor wa Spice Magazine, Manuel Ntoyai, Sis P aliwaelekezea (alipoona maji yamezidi unga) bloggers na waandishi wa sanaa ya pwani na kusema kuwa hao ndio wanaomuharibia jina. Msanii huyu wa kike aliwaambia spice magazine,"bloggers wa pwani kazi yao ni kuandika mabaya ya wasanii na kusahau mazuri.Wanaua sanaa ya pwani.

SABABU KUU ZA KUFIFIA KWA SANAA YA PWANI: PROMOTER NOTTYSTEE AONGEA.

Image
Sanaa ya pwani kila uchao yasemwa kuwa yadidimia ilhali vijana ni matajiri wa talanta tofauti tofauti. Katika pitapita zetu tulipata nafasi ya kumhoji Promoter Nottystee gwiji hapa pwani na hivi kuhusu sanaa.Na alikuwa na haya ya kusema: Pwani vipaji vipo kwa wingi ila kuna mambo kadhaa yanayovuta sanaa hii nyuma na kuididimiza sana.Jambo la kwanza kabisa ni poor management ya wasanii.Management ya usanii ni gharama na msanii awe wa kuimba,kuiga,kucheza,modelling au wa aina yoyote ile kama hatopata mfadhali atakaye msimamia kila kitu basi juhudi zake zitaambuli patupu.Sababu ya pili ni viongozi hawasupport usanii sana kama inavyotakiwa.Viongozi hawafuatilii wala hawaanzishi miradi itakayo wapa vijana nafasi ya kujiajiri kupitia sanaa.Jambo la tatu ni kuwa radio za pwani haziskiki Kenya nzima kwa hivyo wakati wanamuziki wa pwani wanapojibidiisha kufanya kazi zao na kuzipeleka kwenye vituo hazivuki mipaka ya pwani.Wanamuziki wanaishia papa hapa pwani.Hizi ni baadhi tu y...

MSANII WA MOMBASA DEVIL WORSHIPPER???SOMA ALICHOANDIKA HAPA NA TAZAMA PICHA!!!

Image
Msanii Dee brown wa hapa pwani alishangaza wengi hivi majuzi alipoandika hivi.............."Tangu niingie hii kanisa damu za watu kumwagika, beshte kukimbia kudai nimebadilika tangu nilipo okoka nakumpata lusifa.." Huku akiweka picha za kanisa hilo mshangao uliwapiga wengi.

PWANI USANII AWARDS: WASHIKA DAU WA PWANI WALIOFANYA VYEMA 2014.

Image
Tangu tuanze kuangazia sanaa ya pwani mwaka huu,hawa ndio washika dau wa sanaa ya pwani waliofanya vyema zaidi. Hii ni kulingana na uchunguzi wetu tulioufanya kama waandishi wa sanaa ya pwani kwenye mitando. Nao ni kama wafuatavyo:-  1.BEST MALE ARTISTE: KIGOTO MMBONDE 2.BEST FEMALE ARTISTE: JOVIAL 3.BEST RECORDING STUDIO OF THE YEAR: JUNGLE MASTERS 4.BEST AUDIO PRODUCER OF THE YEAR: TK 2   5.BEST VIDEO PRODUCER OF THE YEAR HAMZA OMAR-ONE POINT ONE MONTAGE   6.BEST ACTOR/ACTRESS JUMA SHIBE(MJ WA ALMASI) 7.FEMALE RADIO PRESENTER OF THE YEAR SISTA SHANIZ   8.MALE RADIO PRESENTER OF THE YEAR ARNOLD MUNGA   9.HIPHOP ARTISTE OF THE YEAR KAA LA MOTO KIUMBE   10.UPCOMING ARTISTE OF THE YEAR HARSH B   11.BEST DJ OF THE YEAR VDJ IVORY   12.BEST SONG OF THE YEAR NGOMA ITAMBAE - SUSUMILA ft CHIKUZEE 13.BEST MUSIC VIDEO OF THE YEAR I DO-BENSO ft MISS GG   14.BEST COLLABORATION OF THE...