VOTE FOR SPICE MAGAZINE:
WAKATI WA KURUDISHA SHUKRANI UMEFIKA.BAADA YA MAGAZINE YA SPICE KUCHUKUA JUKUMU LA KUANGAZIA SANAA YA PWANI,WAKATI UMEFIKA KUWAPA SHUKRANI ZETU. SMS AH2 to 21001 ILI TUWEZE KUWAPIGIA KURA SPICE MAGAZINE KWENYE BINGWA AWARDS KWA KUWA MAGAZINE YA PEKEE ILIYOAMUA KUANGAZIA SANAA YA PWANI.
SMS AH2 KWA NAMBARI 21001.
Comments
Post a Comment