MSANII WYNAS YULE WA PLAYBOUY ANA MAPYA!


Ni dogo anayekuja kwa kasi mno na tunaweza sema anawapa wanamuziki wengine 'sleepless nights' kwa ujuzi wake wa vokali kali na kutamba na mdundo vizuri.Wynas chini ya mbawa zake produza Tee leo hii anawachilia kibao kipya kwa jina Tujirushe. Tulipomuuliza kwanini raundi hii ameamua kutofanya muziki wa mahaba.Wynas alikuwa na haya ya kusema,"Nimerekodi nyimbo nyingi sana za mapenzi ndio producer wangu Tee akanambia nijaribu kufanya style tofauti kidogo ili niweze kuridhisha mashabiki wa kila aina ya muziki."
Wakati wa kujirusha umefika,tegeeni ujio mpya wa Playbouy Wynas.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA