RAMOO LAVICHUNARE ASEMA:Bora nile mali yangu pole pole kuliko kulipwa show ya elfu tano ama kumi.
Tulipata kumhoji Ramoo wa kikosi cha Lavichunare waliotamba kwa vibao; mwalimu wa kemia,polepole na vinginevyo na alikuwa na haya ya kunena kuhusu maisha yake binafsi:
PWANI USANII:KANDO NA KUWA MWANAMUZIKI,UNAJIHUSISHA NA NINI?
Ramoo Lavichunare Lavi:
kando na kuwa mwanamziki Mombasa i'm a real G.S.U in Kenyan forces and still apart from been a G.S.U still I got ma own bussines.
PWANI USANII:TUELZEE KUHUSU HIO BIASHARA YAKO.
Ramoo:Nina matatu ya route ya Tudor-Ferry.I have more than 4 tuk tuks nyuma zikiwa zimeandikwa Lavichunare.
PWANI USANII:UNA MPENZI,MCHUMBA AU MKE?
Ramoo:I'm a blessed married man.
PWANI USANII:TUELEZEE JINSI WEWE BINAFSI UNAVYOUONA MUZIKI WA PWANI KWA SASA.
Ramoo:Bora nile mali yangu pole pole kuliko kulipwa show ya 5k ama 10k .Ndio maana sipapatiki si kiawards wala kishow.sikufichi mimi naudharau mziki wa coast maana viongozi wetu duni sana.
Comments
Post a Comment