MSANII AKOTHEE AONYESHA NUSU MWILI WAKE AKIPROTEST TUKIO LA KUVULIWA NGUO KWA WANAWAKE(tazama picha hapa)


Ni tukio lililowagadhabisha wengi juzi pale wanawake kadhaa jijini Nairobi na hapa pwani walipovuliwa nguo na wanaume hadharani kisa na maana wamevaa vibaya. Kisa hicho kilichovutia hisia za watu wengi akiwemo makamo wa Rais William Ruto kilimfanya msanii wa kike anayetokea papa hapa pwani kuonyesha mwili wake kwa kuvaa nguo fupi fupi ili aonyesha machungu yake ya jinsi wanawake wanavyogandamizwa katika jamii. Binti huyo almaarufu Akothee anayevuma kwa kibao
'pashee' alinakili hivi..........
"This is my plan now that you stripe us naked in public and some of you walk bear chest to show off their muscles & 6 packs but forget to shave their armpits and you dont appreciate our well oily supple skin under a skirt , mmm believe me next time i go on stage i will take out my blouse so that you can also witness my flat belly after 5 kids just like male artists do to show off their muscles kwani si mimi ni msanii...............Imagining some pavert stripping any of my things naked ati underdressing ! When did you start puting on clothes? Are you not evolving from zinjanthropus to homoerectus eeee naumia jamani i feel for women ! Our husbands why now ?when did you become animals again"

 

Habari ndio hiyo kwa wanaume wenye tabia potofu na za unyama!

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA