MSANII/PRODUCER LAI AFANYA KIOJA KIKUBWA BAADA YA TIMU YAKE ARSENAL KUFUNGWA.


Je mnakumbuka wimbo kwa jina VIJITABIA VYA LAI?? Wimbo huu uliovuma miaka miwili iliyopita ulikuwa watafsiri yatakayojiri juzi kati ya mchuano wa Manchester united na Arsenal.Lai alifanya kioja ambacho wengi wetu tunaweza sema ni cha kipumbavu.Kitendo tunachoweza kukiita hasira hasara. Mdakuzi wetu alituarifu ya kuwa msanii huyo anayetamba kwa kibao Tiririka na ambaye ni shabiki sugu wa timu ya Arsenal baada ya kujipiga kifua,kuandika kwa mitandao na hata kubet mihela mirefu na mashabiki na hata msanii mwenzake Bocar Jay kuwa timu yake ingeshinda.Hasara kubwa ilimpata baada ya team yake kulimwa mabao,KIOJA kilizuka pale mchezaji Wayne Rooney aliTIRIRISHA bao la pili dakika za mwisho ndipo msanii huyo Lai alisimama kwa hasira na kuinyakua tv iliyokuwa ukutani na kuibwaga hadi kuvunjika bila kujali stima.Washikaji zake aliowaalika kwake ilibidi wajipange kwenda kumalizia game hio bandani.

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA