C DEH: SIJANYAMAZA KIMUZIKI ILA NISHAVUKA MWAKA TAYARI.
Ni msanii ambaye tunaweza mfananisha na Konshens kulingana na miondoko yake ya dancehall na riddim. Gwiji huyu anayefanya kazi zake za kimuziki Kelele records chini ya mbawa zake produza Teknixx alituarifu kuwa hajanyamaza kimuziki bali anajitayarisha kwa kazi mpya za hali ya juu mwaka ujao. Hivi ndivyo alivyosema..........
"Nshafunga mwaka..Inshallah 2015 ndo mwaka wakuvuka mipaka...yani quality audios and videos will b droppin.fresh projects from dope producers .coz al b working with a variety of talented producers"
Endeleeni kutegea.
Comments
Post a Comment