MSANII CHELLAH BWAX WA KUNDI LA RUDEBOYS AVAMIWA NA MAJAMBAZI.



Msanii gwiji aliyevurumisha michapo mikali ya muziki Chellah Bwax alikatiziwa raha zake Ijumaa iliyopita pale majambazi walipomvamia nakumuibia pesa na simu.

Msanii huyo anayetokea Likoni na ambaye yupo kwenye kikosi cha Rudeboys kilicho na wasanii Sketcher na Masacha alivamiwa na majambazi hao waliokuwa tayari kumkatakata kwa silaha,uzuri walimuacha na kumuibia tu aliposalimu amri. Hivi ndivyo alivyonena kupitia facebook......................

'On friday was my badside, nilivamiwa na wenye usiku wakaniibia simu hela wakiwa wamenitolea majambia juu tayari kukisabibisha pengine kifo ila mola kanilinda wakachukua haraka wakaniachia baraka ndugu zangu wa instagram soon nitakuwa live luv u all'

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA