DOGO RICHY: sitaki kuwekwa kwa awards zozote ambazo hazina hela!!



Kila uchao wasanii wanaamka na mapya, hasa tukija pande za awards. Ni wasanii kadhaa hapa pwani ambao wameamua kutupilia mbali tuzo zinazo wazawadi wasanii vinyago pekee. Baadhi ya wasanii ambao washawahi tupilia mbali uteuzi wa kupewa vinyago ni Susumila, Dazlah, Kidi­s, Nyota Ndogo, producer Tee na wengine tu wengi. Leo hii sanaa ya kutochukua vinyago imepata mgeni mpya kwa jina Dogo Richy. Richy ri kama wamuitavyo wengi ametulipilia mbali uteuzi wowote ambao utakua bila hela. Msanii huyu bingwa wa miondoko wa maloveydovey aliyetamba kwa vibao kama sijasahau,naona raha,sina raha na vinginevyo vilevile alimsifu sana poroducer wake Emmy Dee ambaye amemlea kimuziki. Kwanini tuandike mate ilhali wino upo? Soma alichonakili hapa......?..
"ilikuwa vigumu kuingia studio kama underground lakini mi naona tofauti na EMMY D juu most of the time vipaji vipya hutokana na mkono wake. mimi nikiwa mmoja wao, so kama ni tuzo, tuzo bora huenda kwa yule producer ambaye amebadilisha maisha ya msanii wake ambapo anaeza sema kupitia mimi kawa vile .long live ma big bro EMMY D you have done alot to this industry ...awardz zisiwavunje moyo ..sitaki kuekwa kwa awardz zozote ambazo hazina hela."

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA