Kutana na Faith, Actress mkali kutoka KABAKA FILMSWORKS
Faith ni mwanadada aliyehusika katika filamu inayoandaliwa mjini Malindi City na kampuni la KABAKA FILMWORKS.FIlamu yenyewe inafahamika kama THE LOST RING iliyosheheni mastar wanguvu kama Jitu zee wa GBT,Mbuyu wa TABAKA,Marvelous,Princess R,Faith na wengineo wengi.THE LOST RING coming soon.
Courtesy of Malindi Superstars
Comments
Post a Comment