ANOTHER MASSIVE HIT!! SHILINGI YANGU-KENRAZY,DNA & V6
Kwa mara nyingine
tena wakali wa serikali ya Grandpa recordz wamerudi tena kwa mshindo
mkuu. Huku wakiwa wakali kwanza kwenye ulingo wa mziki wa Afrika
mashariki, Kenrazy,DNA na V6 wameandaa video ya wimbo wao Shilingi
yangu.Wimbo huo bila shaka utatifua kivumbi na kufanya mashabiki wengi
watake mipasho zaidi kutoka kwa kikosi hicho.
Comments
Post a Comment