QUEEN EVE APATA DEAL NA PWANI TV
Event organiser na mfanyibiashara kutoka humu pwani Eve Queen amepata deal ya kuleta kipindi kwenye Pwani T.V. Kulingana na mawasiliano yetu naye hapo awali, Eve alitueleza kuwa kipindi chenyewe kinachoitwa The Dhowbiz, kitakuwa kikipeperushwa hewani wakati wowote kutoka sasa. Baadaye, aliupdate kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa wote walio niombea dua njema Mungu amejibu na kunitendea tena, leo nimetia saini kwa kipindi changu The Showbiz kua hewani katika Pwani Tv, nawapenda sana sana
Comments
Post a Comment