MAKE A NAME VIDEO ODINAREH BINGWA ft OHM'S LAW MONTANA.
Wakali wa mistari
na wakwasi wa mtindo wa hiphop,Odinareh na Ohm's law wamekamilisha video
yao ya 'make a name'.Huku wakiendeleza mtindo wa hiphop wasaníi
wamedhihirisha uwezo mkuu kwa wimbo huo kukaa kwa chart ya pwani fm
mashavmashav nambari moja kwa kipindi kirefu.Japokuwa video hio
ilichukua muda kuandaliwa,tulipowasiliana na Odinareh alitueleza kuwa
video hio kwa sasa ipo tayari na mashabiki waipokee vyema.Hivi majuzi
Odinareh alipanda stage moja na msanii Octopizo kwa tamasha la
Coke.Vilevile,msanii alitudokezea kuwa anatayarisha nyimbo kali
akimshirikisha msanii fulani wa Nairobi aliye na ufanisi mkubwa.
cheki ngoma yenyewe hapa
cheki ngoma yenyewe hapa
Comments
Post a Comment