Producer Khalid ajitetea akisema hana chuki na Rap Dem wal Shamaniz.
Hali ya sintofahamu inazidi kuizunguka Million records baada ya wasaani wawili wa kike Rap dem amabaye anadai anataka kuondoka nchini kwenda Dubai na Shamaniz kukosa kufika studio kama ilivyo afikiwa kwenye mikataba yao na producer na maneja wao.
Meza yetu ya umbea imezungumza na producer Khalid ambaye amsema kuwa msani Rap Dem alimwomba ruhusa ya kusafri kwenda Dubai mwezi May lakini akakiri kuwa kufikia sasa hajui iwapo Rap Dem alienda Dubai ama bado yuko nchini.
“Rap dem aliniomba nimruhusu aende dubai.mimi sikuona issue coz alisema life inampa challenges mob” alisema producer Khalid
Khalid amesema Shamaniz hajafika studio toka walipozozana miezi kadhaa iliyopita hadi alipo kutana na Musa Babaz.
“Nilionana na Musa babaz kwa bahati mbaya,so ikabidi tujuane,chikuzee pia alikuwa.So b4 tuongee tukaona bora tumuite shamaniz aje ndio tuwe wote watatu,ilikuwa mtopanga a few days after tukuje studio na shamaniz” alisema producer Khalid
Kalid alisema kwenye mazungumzo yao Musa babaz alimfahamishakuwa alitaka kumsaidia Shamaniz kwenye single track walioifanya na Chikuzee
“So nilipo muuliza shamaniz kama ni kweli anavyosema musa akasema si kweli ni uongo kuna vitu mob alimpromise shama bt hataki kuziongea mbele yangu” alisema Khalid.
Licha ya hayo Khalid amesema kuwa wamesameheana na Shamaniz lakini ni kama bado ana chuki nyingi.
Courtesy of Gates Mgenge Grandson
Comments
Post a Comment