Posts

Showing posts from October, 2014

Umeskumwa umebebwa mpaka umepakatwa.......UJUMBE MPYA WA ORDINARE BINGWA KWA KAA LA MOTO.

Image
  Wengi wetu tunamfahamu OB ukipenda Odinareh Bingwa kuwa msanii anayependa kusema lolote lisilomridhisha na linalomkera waziwazi. Raundi hii Odinareh amaamua kuangusha msumari moto kwenye kidonda na kunena waziwazi. Huku akimlainisha rapper Kaa la moto Kiumbe kwa usemi wake aliosema kuwa tuzo za pwani hazijawaangazia baadhi ya wasanii na hazina faida,OB alimregeshea maneno haya Kaa la moto...........   "Umeskumwa umebebwa mpaka umepakatwa ukanyonyeshwa hivi sasa nguvu zote hizo superstar kwenye tuzo uko namba nne..hii ni ishara flani kua mitaa na mashabiki wapo macho. wenzako wanajituma na kumwaga jasho wenyewe alafu waanza kulialia Mara oh cjui mbona nani hayuko oh miziki yao haifunzi...ukija jua kumwaga jasho mwenyewe na kuhangaika kukimbiza ndoto yako ndio utajua kuheshimu kaZi za wenzio. cku ya nyani kufa miti yote huteleza.." Tegea papa hapa kupata yatakayojiri............

KUPATA TUZO HAIMAANISHI WE NI MKALI,KAA LA MOTO AFUNGUKA KUHUSU TUZO ZA MUZIKI!!

Image
Rapper gwiji anayetokea hapa pwani, Kaa La Moto Kiumbe ameamua kufunguka na kusema yanayomkumba moyoni kuhusiana na tuzo zinazoendelea pwani. Kaa La Moto ambaye pia ni host wa kipindi cha Pwani TV hiphop teketeke alionyesha kutoridhika na uteuzi uliofanywa na pwani celebrity awards na hivi ndivyo alitangulia kunena........... "Msanii mwema Aka Kaa la moto Kiumbe Aka Kessi nauliza..Vipi katika hizi TUZO mbona tunamsahau AMOURY BEIBY and 22..ESCOBAR and P DAY....DJ BUNDUKI and DJ BADAGA...But pia najijibu mwenyewe KUPATA TUZO HAIMAANISHI WE NI MKALI...Unawezakuwa Mkali au umependekezwa Ukali..Anyway Big Up to COAST SHOWBIZ...(Unapata Tuzo ujione noma,wakati umegoma hutoi funzo kwa kila ngoma).. # Nitapigiakura mtu ninaemkubali,naninayemkubali haombi kura kama Hawa.From.Common Mwananch ambaye ni shabiki wa mziki wa Pwani"

MANUEL NTOYAI EDITOR WA SPICE MAGAZINE LA PEOLE DAILY AWASIFU SANA KIGOTO NA SHEMBWANA!

Image
Huku sanaa ya pwani ikizidi kuliteka soko la Nairobi, Shembwana na Kigoto wanaonekena hawajaachwa nyuma kwani tayari wameshaanza kutajwa. Hii ni baada ya editor wa jarida la sanaa linalovuma kwa jina Spice linalotokea kwenye gazeti la People Daily Manuel Ntoyai kuwapa kongole wasanii hawa na kusema kuwa amesikiza sana muziki wa pwani ila wanaomvutia sana na waliona uwezo mkuu kimuziki ni Kigoto Mbonde na Shembwana Masauti.  Kigoto Mbonde Shembwana Masauti Manuel alipendezwa sana na utunzi wa wimbo RIDHIKA na KICHAPO CHA MAPENZI za Kigoto na SIWEZI ya Shembwana. "Pwani kuna vipaji kweli na si uongo na wasanii hawa wawili naona watafika mbali sana kwani wamejaliwa na vipaji na wanavifanyia kazi kadri ya uwezo wao,. They have great potential to make it in music, if they remain steadfast in the game." alinena Manuel na Pwani Usanii.  Spice Editor, Manuel.

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

Image
Ni msanii aliyekubalika na wengi na aliyevuma kwa vibao motomoto kama; mtoto wa shule,umaskini si kilema,kadem,toka nenda,kadem kameparara na nyinginezo. Msanii huyu aliyemaliza shule ya upili mwaka uliopita alifuzu na kuchaguliwa kwenye kikosi cha askari polisi kitengo cha AP. Ranny aliyekuwa studio ya Homeworks na kuhamia studio ya Mwamba records kwa sasa yupo kwenye kambi mafunzoni na aliahidi kuwa kamwe hatowacha muziki,atashughulika na muziki pamoja na kazi yake mpya ya kulinda usalama.

KUTANA NA ACTOR MJ WA KIPINDI CHA ALMASI CHA K24 AKIELEZA TOFAUTI YA MJ NA JUMA SHIBE

Image
Pwani usanii:Je ulianza usanii wa uigizaji lini? Juma Shibe: Nilianza usanii back when I was in high school: nikapata 3 awards za best actor coast province.After school nikatia juhudi zangu zote kwa kipaji changu nikapata scholarship ya kusoma video production Nairobi at National youth talent academy for one year. Pwani usanii:Tueleze kuhusu filamu yako ya kwanza. Juma Shibe:Nilipomaliza high school is when nilianza my first movie "KIZA" with a group inaitwa Kwale arts.My second movie inaitwa Shimo la tewa nilimshirikisha Chikuzee zote hizi mbili zilionyeshwa pwani tv.Nikafanya nyingine inaitwa Unconditional love yenye iko African magic Swahili na hii ndio ilinipa best actor kwa Coast film festival 2013. Pwani usanii:Tueleze project ulizofanya mwaka huu. Juma Shibe:This year ndio nikachukuliwa na Ashiner picture wakanipa role ya MJ. Pwani Usanii:Tueleze kidogo kuhusu role yako ya MJ kwenye kipindi cha Almasi? Juma Shibe:Mj kwa Almasi ni kijana aliyeishi maisha ya ...

THE SEASIDE AND LAKESIDE COMES TOGETHER.

Image
Wimbo mpya Wa Odinareh Bingwa #Tunazidikuwa aliomshirikisha msanii Wa kisumu Poppa Don wapokelewa vyema Kisumu na Nairobi..wimbo huo ambao chini ya masaa manne ya kuachiwa ulichezwa katika station za Homeboyz radio na Hot 96 na kuachiliwa rasmi kwa show ya Dj finalkut hiphop culture jumamosi kwenye Homeboyz redio..Leo Atakua kwenye mambo mseto na mzaZi Tuva kwenye hiphop Tuesday akiendelea na harakati hizo.

JAYSTAR SHARES HIS SEVEN LITTLE SECRETS.

Image
Jaystar tell em what it is....... 1.I'm social and I speak alot. 2 . I can eat chicken meat like everyday. 3.I don't like swimming in the ocean. 4. My mum is the one who named me,Jaystar. 5. I love skinny and slim girls 6.I prefer Kiss than Sex 7.I cant speak in my mother tongue,i know english and kiswahili

DO YOUR WANNA COMPETE WITH NIGERIAN ARTISTES? THE SECRET IS OUT...............read here!!!

Image
Tedd Josiah gives advice to Kenyan artistes,here it is............ "An artiste in Nigeria wanting to use a girl as a model in a music video will pay about 40,000ksh for a cheap cheap model, and round 120000ksh for a good model. A Kenyan musician will pay 40,000ksh for his whole music video & wonder why it ain't getting air play....? Cause it looks cheap. There I said it now sue me! We need to invest in our creative products in order to compete with Africa." Now you know the secret,go out there and do the necessary.Fame awaits you.......

NYOTA NDOGO AWAAMBIA WASANII WAVUE CHUPI!!!!! pata uhondo hapa...............

Image
Nyota Ndogo au ukipenda mama mlezi wa sanaa ya pwani ana jambo la kuwaambia wasanii waliona tabia ya kupiga picha wakiwa nusu uchi kama njia ya mauzo au kupata 'fame'.Msanii huyu alikuwa na haya ya kunena. "Kama usanii ni uchi ndio munapiga picha za kutuonyesha miili yenu.vueni mpaka chupi tuone kila kitu msituzingue bana VUENI CHUPI TUONE."

THE NOTORIOUS NUMBER ONE RADIO FAN SHADY MCHOKOZI SHARES WITH US HIS TOP FIVE BEST COASTKENYA RDIO PRESENTERS!!!!

Image
Anajulikana kwa usumbufu wake kwa kuchangia kwenye mijadala na kurequest nyimbo kwenye stesheni za redio za pwani; ndiposa jina SHADY MCHOKOZI linamfaa. Bingwa huyu ambaye ni shabiki sugu wa sanaa ya pwani huwa bingwa kwenye mitandao ya kijamii na kamwe hakosekani kwenye matamasha na hafichi kwa kuwakosoa washika dau wa tasnia ya pwani hadharani. Mchokozy alitupa list yake ya redio presenters anaowaenzi pwani. Nao ni kama wafuatavyo:- 1.Dj Gates Mgenge-pwani fm 2.Sis shanniez-radio kaya 3.Arnorld munga-pwani fm 4.Farida Ali-bahari fm 5.Chigulu Ngala-pilipili fm

JOB! JOB! CANDY N CANDY RECORDS IS LOOKING FOR TECH SAVY YOUNG PEOPLE

Image
Are you Tech savvy with showbizz swagg? Do you want to make quick mulla while having fun? Candy n Candy Records is looking for young entrepreneurs who are interested in all matters technology, to set up virtual offices in all 47 counties. All you need is a laptop and your marketing skills to get artistes at the grassroots level and have their music on the Free Candy Clear channel, where it will be marketed from 254 to the UK! According to the label's CEO, Joe Kariuki, his company wants to invest in young people in the country whom he says are well equipped with ICT knowledge. “ This country has enough potential to propel it to the next level if invested properly . After being classified as a middle income country, I am sure our youth can make use of their knowledge especially when it comes to ICT not just in the cities, to make money for themselves.” he stated. Joe further added that getting five young people in every county will not only help market Kenyan music...

DJ IVORY AMZUNGUMZIA DJ ELONN............soma alimwambia nini hapa!!!!!

Image
(as narrated by Dj Ivory)   Ok. I met Dj Elonn back in 2008/09 wen I was A dancer. Back then I only used to believe that Only Nairobi had Great Djz. the Likes of Homeboys, Codered, Mob djz ... etc.. But Elonn Proved me wrong. He was the Djz who made me know that anyone from anywhere is capable of doing it. Actually he was the 1st Coastarian mwenye niliskiza mix yake and I was like "Huyu ni dj Wa Nairobi mbona sijawahi kumsikia na ni mkali hivi?" by then kulikuwa na ile kipindi Deejay Leniumalikuwa anahost trybe deejays baraka fm. nimesahau jina but hio kipindi ilikuwa juu mbaya.. hehehe. I even told brayo mudoshanipeleke kwake ndio niamini kuwa anaishi mombasa. since then at tyms I used to skive classes kuenda kuona akitengezea crew dance mixxes. and the Best advise he gave me was "Masomo kwanza" and he stood by that. he was the Dj who made 90% of the crazy dance mixxes we use to perfom with as Dancers.. (@brayomudosh) Dabs dance crew . I wanna take this Tim...

BENSON KATANI BENSO SHARES FIVE SECRETS YOU DIDN'T KNOW ABOUT HIM.

Image
LIGHTS......! CAMERA....! ACTION.....! 1.I do farming and poultry keeping. 2 I'm a workaholic. 3I'm an introvert that is, I like keeping to myself. 4 I studied finance. 5 I'm a very good cook.

SIJASAHAU MUSIC LYRICS BY DOGO RICHIE

Image
Verse 1 Wooo wooo wooh ,yiyiyiyi iii papa emmy eeih papah emmy eeih aaah aah.............. maisha makali kuyang,ang,ana sivyema mpenzi tunagombama sio vizuri unanioneaah aah, kila wakati kuzomeana kufanyanya mambo kukosa maana csivizuri unanionea aah,mchana usiku na gangamala jua kali linalonichoma maumivu mengiii aaah   chorus ee ee e ie ehee ahadi bado sijasahau ooh ooh Ă´oh jamani ooh kuwa nawe ni jukumu langu .aiye aiye aiye eeh mapenzi tupeane... verse 2 zikipita siku mbili mpenzi hujanione wewe usichoke nisubiri labda kazi zimekuwa nyingi aah ,siunajua mnyapara wetu supervisor ni mkali sana ,ikipita roll cal na sipo kazi unga tumeumwaga kazi hizi za kuungaunga leo unadili na kesho hauna tutatoa wapi cha kutafuna aa na pesa sina ,mapenz kwanza sivyo hivyo ooh mapenz ya kulaumiana mapenz kwanza sivyo oo nikuaminiana.. choru­s repeat verse1

MSANII AMTAFUTA KAKAKE.JE HUYU NI NDUGUYE RINGTONE??pata ukweli hapa..........

Image
Msanii Ringtone alipohamia jijini Nairobi na kuiaga pwani kumbe kawacha ndugu wa kiume huku? Hii ni baada ya msanii Peter Kayroz kuja hadharani na kutueleza masaibu yanayomkumba kuhusiana na familia yake. Kayroz ambaye ni msanii anayechipuka anadai ya kuwa hawajui wazazi wake na anaishi kwenye streets vilevile anafanana na Ringtone sana.  "Watu wengi sana wameniuliza kuhusu familia yangu na wanashangaa sana jinsi mimi na Ringtone tunavyofanana.Ukweli ni kwamba nimekuwa nikimtafuta Ringtone kwa udi na uvumba ili nibainishe ukweli.Nimeteseka sana kuishi peke yangu kwa street na wakati umefika nianze kutafuta ndugu zangu........"Alieleza Kayroz. Ulimtazama Peter Kayroz utabaini kuwa ni kweli anafanana na Ringtone. Kilichobaki ni Peter Kayroz na Ringtone wakutana tujue ukweli.

KAA LA MOTO AJIBIWA NA ESCOBAR!!!

Image
Ni juzi tu pale ambapo msanii Kaa la moto alimtaja Escobar kwa wimbo HANIWEZI na kusema kuwa Escobar amepotea kwenye game na hawezi tena. Escobar naye ni juzi tu alikuwa ametoa wimbo YENDE YUYE na alipachika maneno haya kwenye ukurasa wake wa facebook...... "KAHERII!!!..Babake marti natimba kila chimbo,sina tym na beef mi nasaka bingo,haina shanapa kila mwaka mi nagonga,nafanya vitu vyangu nikiwaacha wakibonga,am a star of ma own sitegemei cartel,show natandika na mziki una sell,wanashangaa ninavyo tafuna kokoto,asikwambie mtu hapa mistari fogo....MBINDEMBINDE ZINA ENDELEA." Ukisoma vizuri maneno yake amefunguka na kusema hadharani kuwa hategemei cartel au kikundi chochote ili kufanikiwa kimuziki. Jibu ndilo hilo tungoje Kaa la moto naye tuskie pande yake.

Congratulations to Deejay Bonez of Spin Cycle DJ, who welcomed his son Leo

Image

KUTANA NA KEV-O

Katika pitapita zangu nilipatana na msanii anae chipukia wa nyimbo za injili kwa jina la Kev-O na kuamua kujua mawili matatu kuhusiana na mziki wake.. P.U: Mbona uliamua kufanya mziki wa injili?? Kev-O:Maisha tu! bro smtyms inabidi tubadilike kabla ujana utupeteze. P.U: Una maanisha nini ukisema maisha tu! ebu fafanua kiasi.. Kev-O: ok kwa kifupi maishani kuna mda wa furaha na wa dhiki,ila kwangu dhiki ilizidi furaha,hp umenipata..na wote niliowategemea ama kudhani wangesmama na mimi wakati huo mgumu,waliniumiza zaidi sababu hata niliyempenda aliniacha,so nkaona bora nimrudie mungu wangu,juu ye ndo tegemeo na mtetezi la wanyonge. P.U:oh thanks kwa kufunguka. P.U:Unafanya kazi na studio na studio gani?? Kev-O:kama kawaida niko na Jungle Masters kwa na mzazi wa ukweli papa EMMY DEE. P.U:Ni mdaa sasa tangu utoe wimbo wako NAKUHITAJI..mashabik­i watarajie nini kutoka kwako?? Kev-O:Mashabiki watarajie mengi kuna project zinakam kuna ngoma mbili naeza release kabla DEC. ama hapo mwan...

picha za susumila alivyo launch ngoma yake Hidaya at Wakilisha East Africa, Club Tribeka jijini Nairobi

Image

TAZAMA PICHA NZURI ZA WASHIKA DAU WA SANAA YA PWANI NA WATOTO WAO.

Image

RIDHIKA LYRICS-KIGOTO MMBONDE

Image
VERSE 1 kale kapenzi uliko nipa jana,kalinizuzua machana kutwa Kakafanya nikalala sana,hadi kuamuka nikajivuta vuta Kizuri sipati ,nisipokuona wangu mwana sesere,na mimi sikikuachi,hadi siku ya vigele gele, Najua watakuja sana,wenge hao masharobaro,watakutu­a na kila namna huku masilver,huku ming'aro ila chukulia kama kawa,wasikuzuzue na zao jerojero,wasije kusambaza kama dawa,kukutumia leo kukuacha machero.....mamaa Chorus Mami ridhika,na kipenzi kidogo kile nachokupa Kutafuta ndo kunanyima hakika,takupa yote punde nitapopata... Wee kwangu kama zaree,niloshushiwa na mungu mwenyezi, Wengine naona wakwaree,unayajua ya kizungu mapenzi, mamaaaa.... Verse ukilia ukitabasamu,usoni mwako kunatokea ka dimple, Shikilia nijaze hamu,waoneshe vituko wape maringo, Mukono wako unaponishikilia,mwen­zako naisi kusisimuka, Usoni mwako unaponiangalia,naket­i rahisi siezi nyanyuka, Najua watakuja sana,wengi hao masharabaro,watakutu­a na kila namn,uku masilver uku ming'aro,ila chukulia ka...

DO LYRICS BENSO & MISS GG

Image
Intro: Miss Gg Ali li li li li li li Yeahhhh Iye Iye Iye Iye Oooh ooohhhh If ur happy....happy Bridge If ur happy and you know it clap your hands( Claps) *4 Verse 1 I remember butterfly Pavillion met this guy My senses went up the sky He looked at me I felt so shy Oooh uuuh my Ooh my (Benso) ( oh my oh my my guy) Your eyes Ahaa (Benso) (Why lie they so so fly) Ooooohhh Benso (yeahhh) Ashanipa hizo macho Nika kini macho NĂ­ magical nisha fehel tu ka attraction First sight lover Nishampenda mama Feeling moja funny sana Na tena tamu sana My right hand lady She love it wen I say this L.O.V am happy wit u I wanna spend the rest of my life wit u Call it gunshots Cupid am in love wit u Chorus Am getting Married.... Aaaaah do Today am saying I Do....Aaaaah do Nafunga Ndoa.... Aaaaah do Leo nasema I Do.... Aaaaah do *2 I do I do Aaah Aaah I do I do Aaah aaah I do I do Aaaaah I do I do I do *2 Back ground vocals( Benso) There comes a time in every man's life where he has to be a better man...