PAT-C ARUDI TENA KIMUZIKI!!


Alivuma kwa kibao nakuhenza kilichofanya vyem sio pwani pekee bali Kenya nzima. Tunamzungumzia msanii Pat-C. Gwiji huyo ambaye alinyamaza kiasi na kutoa vibao vingine ambavyo havikutamba sana, leo amepasua mbarika kuwa wakati umefika wa kutawala kama alivyotawala zamani. Pat ama kwa jina lingine kombe amerudi kwa kishindo na yupo na ujio mpya kabisa kwa jina NAHUMANYANE,Tulipomhoji alikuwa na haya ya kunena........."niko na nyimbo mpya inaitwa NAHUMANYANE ilitayarishwa na Crack sound by jcrack, napenda sana vile unapromote local artists"

Comments

Popular posts from this blog

MSANII KIJANA RANNY WA KADEM KUMBE KAJIUNGA NA KIKOSI CHA POLISI........pata uhondo hapa.

MKISEMA WAREMBO HAWAJAZAWA....TAZAMENI PICHA ZA VIDEO HII INAYOKUJA!!!

WAZEE WETU WA KILIFI SIO WACHAWI-MSANII P-DAY AONGEA